Wednesday 4 November 2015

Angalia Rais Kikwete Alivyo fanya Mazungumzo na Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif -

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania amefanya mazungumzo na makamu wa rais wa kwanza kisiwani Zanzibar ambaye ndiye mgombea Urais kupitia tiketi ya chama cha upinzani (CUF) Maalim Seif katika Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Hatua hiyo inajiri wakati ambapo kuna tofauti za kisiasa kisiwaniZanzibar baada ya Tume ya Uchaguzi(ZEC) kufuta matokeo ya uchaguzi uliofanyika .
 
 

0 comments: