Sunday 15 November 2015

Wapinzani Wamsimamishe Kafulila Nafasi ya Uspika wa Bunge ?

 
Inawalazimu wapinzani wamtafute mtu makini atakayeweza kupambana na mgombea wa CCM katika nafasi ya uspika, mimi nashauri wampe David Kafulila na Wenje awe naibu spika.,
 kwa kuwa kafulila amekuwa mtu makini sana katika bunge la 10 hivyo basi mawazo yaliyo yawengi wameomba kuteuliwa kuwa sipika/naibu sipika kwa upande wa wapinzani ,ingawa taarifa hazijawekwa wazi ilisemakana kuna uwezekano mkubwa kupitushwa kwa kafulila kuwaniia nafasi hiyo

0 comments: