Monday 21 July 2014

HOT NEWS ANGALIA VIONGO VYA BINADAMU VYA KAMATWA BUNJU- MAJIMBO DAR

 
Idadi hiyo imeokotwa ktk mifuko ya viroba......ni hali ya kusikitisha kwa kweli miongoni mwao wapo watoto.
========
UPDATE 1:
Kwa mujibu wa Radio One:
Jeshi la Polisi wilaya ya Kinondoni limesema kuwa limekamata viungo mbalimbali vya binadamu vilivyohifadhiwa ktk mifuko ya plastiki ktk machimbo ya kokoto ya Bunju nje kidogo ya jiji la Dsm

Quote By SaaMbovu View Post
TBC wametangaza sasa hivi kuwa ni viungo vya binadamu ambavyo vilikuwa kwenye mifuko vimekutwa katika eneo la kutupia takataka lakini idadi haijasemwa kwakua imefika kama habari iliyofika punde (breaking news) kwahiyo bado hawajotoa taarifa kiundani.





Quote By MPUNGA View Post

Hii habari imetangazwa sasa hivi na ITV. Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi.

0 comments: