Muonekano wa shule ya sekondary sangu |
Mkuu wa sule ya sekondari sangu bwana ANDENGWEZYE BUKUKU wapili ni katibu wa umoja wa wazazi Tanzania wilaya ya mbeya bwana JUMA MNG'OMBE walipokuwa wakiongea na vyombo vya habari |
Mkuu wa sule ya sekondari sangu bwana ANDENGWEZYE BUKUKU |
muonekano wa wanafunzi wakiwa darasani baada ya kutembelewa na vyombo vya habari |
wanafunzi wakiwa darasani baada ya kutembelewa na vyombo vya habari |
Shule ya sekondari sangu iliyopo mkoani mbeya ambayo ipo chini ya umoja wa wazazi Tanzania jumuiya ya ccm imeazimia kufanya harambee ya ujenzi wa
maabara ya kisasa yatakayo fanyika katika ukumbi wa mkapa tarehe 14 mwezi wa
nane,hayo yamesemwa na uongozi wa shule hiyo kwa kupitia mkuu wa shule ANDENGWIZYE
BUKUKU ,
Alipo kuwa akizungu mza na vyombo vya habari ofisini kwake ,ambapo amesema kuwa malengo ya
kuandaa harambee hiyo ni kujenga maabara ya kisasa ambayo itawezesha wanafunzi
wanao soma masomo ya sayansi hususani fizikia ,balogia na kemia iliwaeze kupata
elimu bora ya sayansi kwa ufanisi zaidi
kwa kuwa kwasasa wana uhaba wa maabaara.
Bukuku amesema amewaalika baadhi wanafunzi mbalimabili waliwahi kusoma katika shule hiyo miongoni mwao ni rais wa jumuhuri ya demokrisia ya kongo(DRC) Mh joseph kabila ambaye aliwahikusoma hapo miaka kadhaa iliyopita,ameongeza kuwa uongozi wa shule hiyo umeamuakumwandikia barua ya mwaliko kupitaia ubarozi wa Tanzania kuhusu halambeee hiyo
Mbali na kiongozi huyo mkuu huyo wa shule amewata baadhi ya wanafuzi wengine walio wahi kusoma hapo ni kama vile mbunge wa singda mjini MOHAMED DEWJI,aliyekuwa waziri wa mabo ya ndani na mbunge wa songea mjini EMANUEL NCHIMBI alikuwa mbunge wa mbeya mjini na hivi sasa ni mkuu wa wilaya ya kahama MH BENSON MPESYA na msanii maarufu Tanzania AMBYENE YESAYA (A .y)
Kwa upande wake katibu wa umoja wa wazazi Tanzania wilaya ya mbeya bwana JUMA MNGO’MBE amesma kuwa ili kukakamilisha ujezi wa maabaara wana hitaji jumla ya milioni miamoja sitini na moja ( milioni 161) hivyo ame waomba wadau mbalimbali iki wemo tasisi za kifedha na wafanya bishara kujitokeza katika harambe hii ili kuwezesha elimu ya Tanzania kuwa ya ufanisi zaidi,na katika harambe yiyo mgeni anatarajiwa kuwa Naibu waziri wa fedha Mh ADAM KIGODA MALIMA katibu huyo ameotoa namba ya akaunti ya benki kwa wale wanao unga mkono harambee hii kwa kuchangia kupitia akunti namba CRDB 01j1065276501
Na A bdul Marwa
kwa Yule anependa kujua zaidi ya hambee hii apige
namba ya mkuu wa shule 0764600414
0 comments:
Post a Comment