Friday, 20 June 2014

KOMBE LA DUNIA: JAPAN YASHINDWA KUIFUNGA MTU 10 GREECE?


KWENYE Mechi ya Pili ya Kundi C la Fainali za Kombe la Dunia iliyochezwa Usiku huu ndani ya Estadio das Dunas Mjini Natal Nchini Brazil, kufuatia ile ambayo Colombia iliichapa Ivory Coast 2-1, Japan na Greece zilitoka Sare ya 0-0.
Kuanzia Dakika ya 38, Greece walibaki Mtu 10 baada ya Nahodha wao Konstantinos Katsouranis kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu baada kuzoa Kadi za Njano mbili lakini Japan walishindwa kuutumia mwanaya huo.
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
MSIMAMO:
KUNDI C
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
Colombia
2
2
0
0
5
1
4
6
Ivory Coast
2
1
0
1
3
3
0
3
Japan
2
0
1
1
1
2
-1
1
Greece
2
0
1
1
0
3
-3
1
 XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
JAPAN_v_GREECEMechi za mwisho za Kundi C ni Jumanne Juni 24 wakati Japan itacheza na Colombia na Greece na Ivory Coast.
VIKOSI:
JAPAN: Kawashima; Uchida, Yoshida, Nagatomo, Konno; Hasebe, Yamaguchi, Honda, Okazaki; Okubo, Osako.
Akiba: Sakai, Morishige, Endo, Kiyotake, Kagawa, Kakitani, Nishikawa, Aoyama, Inoha, Saito, Sakai, Gonda.
GREECE: Karnezis; Torosidis, Papasthathopoulos, Manolas, Holebas; Fetfetsidis, Katsouranis, Maniatis, Kone, Samaras, Mitroglou.
Akiba: Tzavellas, Moras, Tziolis, Karagounis, Vyntra, Glykos, Kapino, Salpingidis, Christodoulopoulos, Gekas, Samaris, Tachtsidis.

Refa: Joel Aguilar (El Salvador)
KOMBE LA DUNIA
RATIBA
ALHAMISI, JUNI 19, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Colombia 2 Ivory Coast 1
C
Nacional
2200
Uruguay 2 England 1
D
Arena Corinthians
0100
Japan 0 Greece 0
C
Estadio das Dunas
IJUMAA, JUNI 20, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Italy v Costa Rica
D
Arena Pernambuco
2200
Switzerland v France
E
Arena Fonte Nova
0100
Honduras v Ecuador
E
Arena da Baixada
JUMAMOSI, JUNI 21, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Argentina v Iran
F
Estadio Mineirão
2200
Germany v Ghana
G
Estadio Castelão
0100
Nigeria v Bosnia-Herzegovina
F
Arena Pantanal
JUMAPILI, JUNI 22, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Belgium v Russia
H
Estadio do Maracanã
2200
South Korea v Algeria
H
Estadio Beira-Rio
0100
United States v Portugal
G
Arena Amazonia
 

0 comments: