Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Kamishna wa Polisi Msaidizi
Mwandamizi (SACP) Mary Nzuki, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa
Ilala, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar
es salaam leo Julai 17, 2014 wakati akipanda ndege kuelekea mkoani
Ruvuma kuanza ziara ya Kikazi ya wiki moja ambapo atakagua na kuzindua
miradi ya maendeleo na kuongea na wananchi. Kati kati ni Kamishna
Msaidizi wa Polisi (ACP) Hamisi Selemani, Kamanda wa Polisi katika
Uwanja huo wa ndege.
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment