| Ndudu wa marehemu Kalolo wakiweka shada la maua |
| Familia ya kalolo ikiweka shada la maua |
| Waombolezaji wakiwa katika mazishi hayo wakimsikiliza kwa makini mbunge Mgimwa aliyefika kuungana nao katika mazishi hayo jana |
| Mtani wa wahehe Mgoni akiweka shada la maua |
| Mbunge Mgimwa na katibu wake Simwangwa wakisogea kutoa pore kwa wafiwa |
| Mbunge Mgimwa kulia akiwa na katibu wake Bw Simwangwa na diwani wa kata ya Mgama Denis Lupala wakati wa mazishi ya mzee Kasian Kalolo katika kata ya Lyamgungwe |
| Mbunge Mgimwa kulia akiwapa pore familia |
| Wananchi wakimpongeza katibu wa Mgimwa |
| Mbunge Mgimwa akitoa pore kwa wafiwa katika msiba wa mzee Kasian Kalolo |
| Mbunge Mgimwa akiwapa pore wafiwa kwa kumpoteza baba yao mzee Kalolo |
| Mbunge Mgimwa na waomboleza wengine wakiondoka makaburini baada ya kumaliza mazishi |
| Mkazi wa Lyamgungwe kulia akifurahi ushiriki wa mbunge Mgimwa katika mazishi ya mwanakijii mwenzao |
| Mbunge Mgimwa akijiandaa kuingia katika gari kuanza safari ya kwenda bungeni Dodoma baada ya kumaliza shughuli ya mazishi |












0 comments:
Post a Comment