MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

Monday, 30 June 2014

KOMBE LA DUNIA: UFARANSA YAITUPA NJE NIGERIA, YAICHAPA 2-0

 DAKIKA ZA LALA SALAMA   Mabao ya Pogba dakika ya 79 na Yobo la kujifunga dakika ya pili ya muda wa nyongeza baada ya kutimu dakika 90 za kawaida za mchezo, yaimepeleka Ufaransa Robo Fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuifunga Nigeria 2-0usiku huu ...

haya ndiyo madhara ya kutazama televisheni

Watu wanaotazama runinga kwa saa tatu au zaidi kila siku wako katika hatari ya kuaga dunia mapema kuwaliko wale wanaotazama kwa muda mchache. ...

KUMBE :Wachezaji 7 wa Costa Rica hawakutumia dawa zaa kulevya

Wachezaji 7 wa Costa Rica hawakutumia dawa za kuongeza nguvu mwilini Wachezaji saba wa Costa Rica waliolazimishwa na maafisa wa FIFA kupimwa...

ANGALIA :ROONEY AAMUA KULA ZAKE 'MIBATA' NCHINI MAREKANI

Baada ya timu ya england kuwatolewa katka  kombe dunia rooney amuakula bata nchini marekani asema ngoja apumzike ...

Polisi 2 wauawa karibu na Ikulu ya Misri

  Maafisa wawili wa polisi waliuawa wakitegua mabomu yaliyokuwa yametegwa karibu na ikulu ya rais Mabomu mawili...

Hivyo ndivyo Rais wa Uruguay alivyotukana maafisa wa FIFA

Rais Jose Mujica amesema maafisa wa FIFA wamuadhibu Suarez kwa unyonge wake Rais wa Uruguay Jose Mujica amewatukana maafisa wa FIFA kwa kuwaita ''kundi la watoto...

NHIF YATETA NA WADAU WAKE WA MKOA WA DAR ES SALAAM

  Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na Mkuu wa Waya ya Ilala Mh. Raymond Mushi akifungua mkutano wa Wadau wa Mfuko wa Bima ya Taifa ya Afya NHIF uliofanyika leo kwenye ukumbi wa Malimu Nyerere Conference Centre jijini Dar...

HOT NEWS :MWANAFUNZI WA RUCO ALIYECHOMWA MOTO AFARIKI.

                                          R.I.P...

LOUIS VAN GAAL KUMBADILI RVP KWENYE MECHI, NI SALAMU SPESHO MAN UNITED!

WACHAMBUZI huko Uingereza wametafsiri kuwa kumbadili Nahodha wa Netherlands Robin van Persie wakati Holland iko nyuma kwa Bao 1-0 walipocheza na Mexico ni ujumbe tosha toka kwa Louis van Gaal kwa Klabu yake mpya Manchester United kuwa hatakuwa na masihara...

YANGA YASHANGAA NGASSA KWENDA BONDENI! SOUTH AFRIKA

  KATIBU MKUU wa Yanga, Beno Njovu, ameripotiwa kushangazwa na taarifa kuwa Straika wao Mrisho Ngassa alikwenda Afrika Kusini kwa Majaribio na Klabu ya Free State Stars FC. Njovu alisema kuwa walichokuwa wanajua wao ni kuwa Free State Stars FC walionyesha nia ya...

ANGALIA: AVEVA ALIVYO SHINDA KWA KISHINDO KTK UCHAGUZI SIMBA SC

     HATIMAE Klabu ya Simba imepata Uongozi mpya baada kufanya Uchaguzi Mkuu hapo Jana huko Bwalo la Maafisa wa Polisi, Oyster Bay, Jijini Dar es Salaam. Evans Aveva ndie aliibuka Mshindi kwa uchaguzi wa Rais kwa kumtupa Andrew Tupa kwa...