Friday 8 August 2014

MATUKIO KATIKA PICHA NDANI YA MAONYESHO YA NANENANE YALIVYO FANA MBEYA

Hawa ni baadhi watu walio hudhulia  hitimisho ya maonyesho ya nane nane leo mkoani mbeya

Muoneka  wa stand mpya ya nane nane mkoani mbeya

umati wa watu na msongamano ulivyo kuwa umefulika

maonyesho yalivyo endeleaa


watu wakitembelea mabanda mbalimbali katika maonyesho ya nane nane mkoani mbeya

watu wako kwenye harakati za kuelekea kwenye maonyesho hayo ya nane nane mbeya


0 comments: