Saturday 23 August 2014

MBEYA CITY KUADHIMISHA MIAKA MITATU TANGU ISAJILIWE RASMI(MBEYACITY DAY)



Club ya mbeya city  kutoka mbeya kuadhimisha kutimiza miaka mitatu tangu isajiliwe rasimi na msajili wa vilabu mwaka 2011 tarehe 25 mwezi august  itakuwa siku ya jumatatu ndio itakuwa  inatimiza miaka mtatu tangu isajiliwe  akiongeo na mbeya greennews blog  katibu wa mbeya city mh kimbe
           amesema wameanda tamasha kubwa katika siku ya mbeyacity  day  itayofanyika  tarehe 30 mwezi huu katika uwanja wa sokine  jiji ni mbeya
 katibu huyo amesema kuwa ameweka  siku ya  tarehe 30 kwa kuwa taerehe ya 25 ni siku ya kazi hivyo mahudhulio yanaweza kuwa machache kwa kuwa mashabiki wao wengi watakuwa makazini
katibu ameongza kuwa wameanda  michezo mabilimbali kwa kujumuisha wanafunzi wa shule za msingi na sekondali hivyoo ameomba mashabiki na wadau wa club hiyo  kuhudhulia katika siku hiyo ya kuzaliwa kwa mbeya city

0 comments: