Rais Kikwete akihutubia umati wa maelfu ya wananchi waliojitokeza
kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro
alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014
Rais
Kikwete akiagana na baadhi ya wananchi waliojitokeza
kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro
alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014

Rais Kikwete akihutubia umati wa maelfu ya wananchi waliojitokeza
kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro
alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014

Rais
Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na wazee wa mji wa
gairo waliojitokeza kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa
Gairo mkoani Morogoro alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti
26, 2014
Rais Kikwete akiagana na baadhi ya wananchi waliojitokeza
kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro
alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014

Sehemu ya maelfu ya wananchi waliofurika kwenye uwanja wa mkutano wa
mji wa Gairo mkoani Morogoro kumsikiliza Rais Kikwete alipowahutubia
kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014

Mmoja wa wananchi waliofurika kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo
mkoani Morogoro akichukua kumbukumbu wakati wa kumsikiliza Rais Kikwete
alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014

Sehemu ya maelfu ya wananchi waliofurika kwenye uwanja wa mkutano wa
mji wa Gairo mkoani Morogoro kumsikiliza Rais Kikwete alipowahutubia
kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014

Mbunge wa Gairo Mhe. Ahmed Mabhut Shabiby akimkaribisha Rais Kikwete kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014
Rais Jakaya Kikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi alipowasili kwenye
uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro kuhutubia mkutano wa
hadhara Agosti 26, 2014
0 comments:
Post a Comment