Wednesday 27 August 2014

DI MARIA A KABIDHI JEZ NAMBA SABA (7) MAN UNITEDI

HATIMAYE Angel di Maria amekuwa mchezaji wa Manchester United kwa dau la rekodi Uingereza la Pauni Milioni 59.7 usiku huu kutoka Real Madrid.
Winga huyo wa Argentina amesaini Mkataba wa miaka mitano Old Trafford ambao utamfanya apate mshahara wa Pauni Milioni 6.5 kwa mwaka baada ya kodi. 
Hiyo itamfanya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 awe nyuma ya Nahodha wa United, Wayne Rooney kwa kulipwa mshahara mkubwa. Pia mchezaji huyo amepewa jezi namba  saba ilikuwa ikitumiwa na Christian  Ronardol wa real madrid kwa sasa
Tumempata! Angel di Maria akikabidhiwa jezi ya Manchester United na kocha wa Louis van Gaal
Recruit: Manchester United announced the signing of Di Maria on Tuesday night
New motor: Di Maria poses in front of a Chevrolet car outside Aon Training Complex
Long-term man: Di Maria signs on a five-year deal from European champions Real Madrid
Chief coup: Executive vice-chairman Ed Woodward poses with Di Maria
Makamu Mwenyekiti, Ed Woodward akitiliana saini Mkataba na Di Maria

0 comments: