Saturday 23 August 2014

N IUHONDO WA KUFA MTU MADRID WAKO UWANJA WA TAIFA LEO


 
Kocha Msaidizi wa Tanzania XI, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ (kushoto) akizungumza na nyota wa zamani wa Real Madrid, Fernando Sanz Duran. 
 Kiungo wa zamani wa Real Madrid, Luis Figo akizungumza na waandishi wa habari jana (hawapo pichani). Wa kwanza kulia ni nyota mwingine wa Real Madrid, Christian Karembeu na katikati ni mratibu wa ziara ya wanasoka hao, Mkurugenzi wa Kampuni ya TSN, Farough Baghozah.

0 comments: