Wednesday 20 August 2014

UKAWA KUGOMA KUINGIA BUNGE MAALUMU LA KATIBA WANASABABU ZA MSINGI



kwa kuwa bunge la sasa linajadili mambo tofauti na machango na maoni ya wananchi walioutoa katika tume ya warioba ndio maana baadhi ya wajumbe wa bunge hilo la katiba  hakubaliani na uendeshwaji unao endelea  hivi sasa katika bunge hilo ndiyo maana ukawa hawataki kuingia bungeni, hayo yamesemwa  na mratibu wa shirika la maendeleo ya elimu Tanzania(Tanzania development agent)(TANEDA) bwana wirlfred ngajiro alipokuwa akizunguza  na mtandao huu offisini kwake

Mratibu huyo ameongeza  kuwa kupata katiba mpya ni maridhiano ya pande zote mbili kati ya ukawa na wajumbe wengine wa bunge hilo malumu la katiba,  kama bunge litaendelea kwa mchakato wa kutafutbata katiba  kwa utaratibu huu wakati mchango wa wajumbe wengine hawapo bungeni, katiba hiyo itakuwa batiri
  mratibu wa shirika la maendeleo ya elimu Tanzania(Tanzania development agent)wirlfred ngajiro 

Kwa  upande mwingene  kuwa kusitishwa kwa mchakato wa katiba  ni sawa kwa kuwa serikali imetumia pesa nyinge  kutafuta maoni ya wananchi kuhusu katiba  na mpaka leo hakuna chamsingi kinachoendeleo  kuhusu katiba bali ni kulumbana bila sababu ya msingi hivyo  kwa upande wake anomba isitishwe ili kupunguza gharama kwa watanzaia
Habari Na Abdul Marwa Mbeya

0 comments: