Afisa
Habari Mkuu wa Wizara ya Kazi na Ajira, Ridhiwani Wema (kushoto),
akizungumza na waandishi wa habari leo, jijini Dar es Salaam kuhusu
maonesho ya 15 ya wajasiriamali wa sekta isiyo rasmi ya Jumuhiya ya
Afrika Mashariki; yajulikanayo kama Nguvu Kazi/Jua Kali yanayotarajiwa
kufanyika Kigali Rwanda,Novemba 30 hadi Desemba 7 mwaka huu. Kulia ni
Afisa Kazi Mwandamizi wa Wizara ya Kazi na Ajira, Sara Daudi. Mwenyekiti
wa Shirikisho la Vyama vya Wajasirimali Tanzania, Joseph Rweyemamu
(kulia), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa mkutano na
waandishi wa habari, leo jijini Dar e s Salaam kuhusu maonesho ya 15 ya
Jumuiya ya Afrika Mashariki yajulikanayo kama Nguvu kazi/Jua Kali
yanayotarajiwa kuanza 30 hadi Desemba 7 mwaka huu. Kushoto ni Afisa
Kazi Mwandamizi wa Wizara ya Kazi na Ajira, Sara Daudi. Mratibu
wa Chama cha Utabibu wa Dawa Asili Tanzania, Boniverntura Ferdinand
(katika), akiwaeleza umuhimu wa dawa asilia wakati wa mkutano na
waandishi wa habari leo, jijini Dar es Salaam kuhusu maonesho ya 15 ya
Jumuiya ya Afrika Mashariki yajulikanayo kama Nguvu kazi/Jua Kali
yanayotarajiwa kuanza Novemba 30 hadi Desemba 7 mwaka huu, kulia ni
Afisa Habari Mkuu wa Wizara ya Kazi na Ajira, Ridhiwani Wema na kushoto
ni Mweka Hazina wa Shirikisho la Vyama vya Wajasiriamali Tanzania, Jumbe
Ngutto. Picha na Lorietha(Laurence-Maelezo)
Tuesday, 17 June 2014
HOME »
» MATUKIO YA PICHA ZA PRESS CONFERENCE WIZARA YA KAZI NA AJIRA
0 comments:
Post a Comment