Wednesday, 18 June 2014

KOMBE LA DUNIA: URUSI YA FABIO CAPELLO YATOKA SARE YA 1-1 NA KOREA KUSINI


Blunder: Russia goalkeeper Igor Akinfeev drops Lee Keun-Ho's shot into his goal to give South Korea the lead
Mlinda mlango wa Urusi, Igor Akinfeev akijifunga bao katika harakati za kuokoa Shuti la Lee Keun-Ho
Too late: Akinfeev looks on as the ball crosses the line after the Russia goalkeeper spilled the ball
 Akinfeev akiutazama mpira unaovuka mstari na kuzama nyavuni.
Nightmare: Akinfeev lies with his head in his hands as Vasily Berezutski collects the ball from the net
Akinfeev akiwa amelala chini baada ya kuifungisha timu yake, huku mwenzake Vasily Berezutski akiokota mpira nyavuni.
Worth a gamble: Lee Keun-Ho shot from distance should have been easily gathered by Akinfeev
Lee Keun-Ho alipiga shuti la mbali ambalo lingedakwa kirahisi na kipa Akinfeev
Super sub: Lee Keun-Ho celebrates after his speculative effort on goal went in
Hero: Russia frontman Kerzhakov celebrates after his goal spared the blushes of AkinfeevSuper sub: Lee Keun-Ho akishangilia bao la kujifungala Urusi ambalo alichangia sana.Leveller: Aleksnadr Kerzhakov, surrounded by defenders, fires the ball home to equalise for Russia
 Aleksnadr Kerzhakov, akiwa amezungukwa na mabeki aliachia shuti na kuifungia Urusi bao la kusawazisha.

Timu ya taifa ya Urusi jana alfajiri ya leo imetoka sare ya 1-1 na timu ya taifa ya Korea kusini katika mchezo wa kombe la dunia unaoendelea nchini Brazil.
 Mlinda mlango wa Urusi, Igor Akinfeev akijifunga bao katika harakati za kuokoa Shuti la Lee Keun-Ho, lakini Warusi walisawazisha bao hilo kupita kwa  Aleksnadr Kerzhakov
Kikosi cha Urusi (4-3-3): Akinfeev 3; Eshchenko 5, Berezutskiy 5, Ignashevich 6, Kombarov 6; Fayzulin 6, Shatov 5 (Dzagoev 60’ 6.5), Glushakov 5 (Denisov 72’ 5); Samedov 5, Kokorin 5, Zhirkov 5 (Kerzhakov 6.5).
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Kozlov, Schennikov, Semenov, Kanunnikov, Lodygin, Granat, Mogilevets, Ryzhikov, Ionov. Waliopata kadi: Shatov. Kocha: Fabio Capello, 6. Kikosi cha Korea kusini (4-4-2): S R Jung 4.5; Y Lee 5, J H Hong 6 (S H Hwang 72’ 5), Y G Kim 6, S Y Yun 6; C Y Lee 6, K Y Han 6, J C Koo 6, S Y Ki 7; H M Son 6.5 (B K Kim 84’), C Y Park 5.5 (K H Lee 56’ 5) Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Kim Chang-soo, Kwak Tae-hwi, Ha Dae-sung, Park Jong-woo, Kim Shin-wook, Ji Dong-won, Kim Seung-gyu, Park Joo-ho,
Lee Bum-young.
Kadi ya njano: Son, Ki, Koo Kocha: Hong Myung-Bo 6.5 Mwamuzi: Nestor Pitana 6.5

0 comments: