Mbunge wa
Arusha mjini, Godbless Lema ambaye pia ni waziri kivuli wa mambo ya
ndani akihutubia wakazi wa kata miyomboni-kitanzini jioni leo katika
eneo la olofea mjini Iringa, mkoani Iringa.
Baadhi ya wakazi wakifuatilia mkutano na wengine wakipiga picha wakati Mbunge wa Arusha mjini Godless Lema.
0 comments:
Post a Comment