Wednesday 3 September 2014

AOMBA MSAADA WA KUFANYA MAPENZI NA WALIONIZIDI UMRI


Naombeni msaada wenu wakuu kuhusu hii hali inayonisumbua.
Wavulana wa umri Wangu sina hamu
nao kabisa na Siwataki kabisa, Napendelea Wale kuanzia Miaka 30 naona ndo wananifikisha, Vijana Wanajisifu sana ila hakuna kitu Kwenye Tukifika Uwanjani ..Ama mie ndo Natatizo ? Naombeni Ushauri.
By Flora

0 comments: