Monday 19 May 2014

SIKU YA UANUWAI WA UTAMADUNI DUNIANI KUADHIMISHWA MEI 21 KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA

PIX 2 UANUWAI 
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Sihaba Nkinga     akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu maadhimisho ya siku ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani inayoadhimishwa kila ifikapo tarehe 21 Mei kila mwaka leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Maendeleo ya Utamaduni Pro. Hermas Mwansoko.
PIX 3 UANUWAI 
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Sihaba Nkinga Akifafanua jambo wakati wa mkutano wa waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya siku ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani ambayo mwaka huu yataadhimishwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mei 21.  
(Picha na: Genofeva Matemu – Afisa Mawasiliano Serikalini WHVUM)

0 comments: