Miaka
tisa, Kombe moja: Kocha wa Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger alilazimika
kubadilisha shati lake baada ya alilokuwa amevaa kuloana bia
alizomwagiwa na wachezaji wake wakati wa kushangilia ushindi wa 3-2
uliowapa Kombe la FA jana Uwanja wa Wembley, taji la kwanza kwa klabu
hiyo na mocha huyo kwa ujumla baada ya miaka tisa.

Juu juu: Wenger akiwa amebebwa juu juu na wachezaji wake jana

Anaogeshwa mbege: Wenger akimwagiwa bia na wachezaji wake

Aogeshwe huyoo: Wenger akiwa amebebwa na kumwagiwa bia na wachezaji wake.


Serge
Gnabry na Alex Oxlade-Chamberlain, kushoto na Santi Cazorla na Nacho
Monreal wakiwa wamepozi na Kombe la FA chumba cha kubadilishia nguo
Uwanja wa Wembley jana

Kutoka kushoto ni Santi Carzorla, Mesut Ozil, Per Mertesacker, Serge Gnabry, Lukas Podolski na Aaron Ramsey

Podolski akishangilia mbele ya mashabiki

Mmoja wa mashabiki wa Arsenal akiwa kifua wazi kushangilia ubingwa
0 comments:
Post a Comment