Mchora
mipango: Kocha Diego Simeone akiwa ameinuliwa juu na wachezaji wake
kushangilia ubingwa wa Ligi Kuu ya Hispania, La Liga ambao ni wa kwanza
kwao baada ya miaka 18, kufuatia safe ya 1-1 na Barcelona jana Uwanja wa
Camp Nou

Wachezaji wakishangilia kwa kucheza, kuimba, kuruka na kumwagiana shampeni

Pati bila Kombe: Wachezaji wakishangilia bila Kombe kwa sababu Rais wa FA ya Hispania, Javier Tebas hakutokea kwenye mchezo huo

Mashabiki wa Atletico Madrid walifika eneo la Neptuno kushangilia ubingwa wao

Kuimba na kucheza: Mashabiki wakishangilia taji la kwanza la La Liga baada ya miaka 18
0 comments:
Post a Comment