Monday 19 May 2014

ADAM KUAMBIANA AGWA KWA MARA YA MWISHO NYUMBANI KWAKE BUNJU, DAR ES SALAAM


MWILI wa mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Kuambiana umeagwa nyumbani kwake Bunju B, Dar ambapo ndugu, jamaa, wanasiasa, marafiki wameshiriki tukio hilo. Kesho asubuhi mwili utapelekwa Viwanja vya Leaders kuagwa na baadaye kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar.

Mwili wa Adam Kuambiana ukiandaliwa tayari kwa kuagwa nyumbani kwake Bunju B jioni hii.

Mwili wa marehemu ukiwasili nyumbani Bunju B.

Mwili wa marehemu ukishushwa kutoka kwenye gari Bunju B.

Mwili wa marehemu Adam Kuambiana ukiongozwa kuingia ndani nyumbani kwake




Wasanii na mastaa mbali mbali wakiwa msibani

Mwili wa marehemu Adam Kuambiana ukitolewa kwa ajili ya kuagwa.

0 comments: