Monday 19 May 2014

BODABODA MKOA WA MBEYA WATAKA USHURU WANAO UTOA KWA SERIKALI IWAIBORESHEE MAZINGRA YA KAZI YAO

Ni Asajile Lisyele Mwkt kanda ya ya uyole akiongea na wandishi wa habari

Ni badhii viongozi wa boda boda mkoa wa mbeya  wa kwnza kushoto ni makamu mwkt wa badaboda  bwna zuberi saiboni (mwenyetisht nyeupe) wapili ni mwekt wa bodaboda mkoa wa mbeya bwana Vicent mwashoma (mwenye surt) watatu ni  Ebariki  Elex makamu katibu wa bodaboda  mkoa wa mbeya wanne saimoni mwaipopo mtunza hazina kanda ya uyole(tishet nyekundu) na watano ni asajile lisyela  mwkt bodaboda  kanda ya uyole(kuti la mistari mieupe)

mwekt wa bodaboda mkoa wa mbeya bwana Vicent mwashoma 

Wakwanza kushoto nimwekt wa bodaboda mkoa wa mbeya bwana Vicent mwashoma 
 katikati  ni Ebariki  Elex makamu katibu wa bodaboda  mkoa wa mbeya  watatu saimoni mwaipopo mtunza hazina kanda ya uyole(tishet nyekundu)


 hizi ni baadhi ya pikiki zilizo kuwa kimepaki kipindi ambacho viongozi wa bodaboda walipokuwa kwenye kikao hicho  leo hii


Chama cha waindesha pikipiki maarufu kama boda  boda mkoani mbeya  imeayomba serikali kuondoa ushuru wa pikipiki  wa sh 200 kutokana na kutokuwepo  na utaratibu mzuri wa ulipaji wa ushuru huo pamoja na kutoboreshewa mazingira  ya sehemu zao  za kazi kutokana na ushuru wanao lipa


hayo yamesmwa na mwenyekiji  wa chama hicho   BWANA VICENT MWASHOMA katika kikao   kilicho fanyika ukumbi wa  tumaini lodge uliopo maeneo ya ilomba mkoani mbeya, kikao hicho kilihudhuliwa na viongozi wa bodaboda wa kanda zote  za mbeya  pamoja viongozi wa usalama barabarani mkoa wa mbeya

Pamoja na hayo mwenyekiti ameongeza kuwa kampuni iliyopewa mamlaka ya kukusanya ushuru huo haina utaratibu maluum  kwani  wafanyakazi wa kampuni hiyo ya JAGRO  wanatumia  mabavu au nguvu  na kuwalipisha  faini ya sh 50000 kwa kila pikipiki hali ambaya  inasabaiasha madreva wa  bodaboda  kutotoa ushrikiano  na wafanya kazi hao


Pamoja na hayo mwkt huyo amesema   kutokana na ushuru wano utoa serikali iboreshe mazingira ya  sehemu ya kazi zao,kwa kujengewa  vyoo katika  vituo wanavyo egeshea  pikipiki zoa au kwa ku watengenezea sehemu nzuri ya kuvuri

Naye makamo mwkt wa chama hicho bwana ZUBERY SAIBON  amesema mbali na matatizo hayo yapo mengi kama halimashauri inatakiwa  iweke vituo mbalimbali  vya kuakatishia  ushuru sio kama  ilivyo hivi sasa ambapo kuna kituo vichache vya  kukatia ushuru  hali ianayo sabaisha watu kuto kata  ushuru kiu rahisi

pia ameiomba serikali kudhamini  kazi yao kwasababubu  kunakasumba ya  baadhi ya maskari kuwa nyanyasa madreva boda boda  bila sababu za msingi  hali inayo leta uhasama kati ya  madreva bodaboda na jeshi la polisi


Kwa upande wake  mlezi msaidizi wa vikundi vya kijamii mkoa wa mbeya  bwana  JEREMIA MGANJA  ambaye pia ni msaidizi wa kitengo cha usalama  barabarani mkoa wa mbeya  amesema  kuwa  yeye sio msemaji mkuu kuhusu malalamiko hayo ila amedai kuwa maombi yote yatafikishwa  kwa mkurugenzi  jiji yeye ndio atakae  chuakua hatua  na utekelezaji wa matatizo,  mbali na hayo bwana  Jeremia  amewasa  boda boda kufuata sheria za barabani ili kuondoka na migogoro kwa maaskari wa barabani
chanzo na Abdul Abdallah

0 comments: