Sunday 20 March 2016

LIVE kutoka Zanzibar muda huu Makamu wa Rais Bi Samia Hassani Suluhu Apiga Kura Visiwani Zanzibar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi Samia Hassan  Suluhu amepiga kura viwasini Zanzibar  katika uchaguzi wa marudio unaofanyika leo. 

Bi Samia amrwapongeza wananncji wa Visiwa vya Zanzibar kwa  kukitokeza kwa wingi kupiga kura kuwachagua viongozi  wao. 

Amewataka Wanzanzibar kuwa watulivu mpaka  zoezi hili litakapokamilika na Matokeo  kutangazwa. 

0 comments: