Saturday 19 March 2016

Hiii ndiyo Ajali ya Ndege ya FlyDubai ilivyoua watu zaidi ya 60 leo

Kwenye Vyombo vya habari vya Kimataifa, habari inayomake headline ni kuhusiana na ajali ya Ndege iliyotokea mapema leo. Ndege ya FlyDubai ambayo ilikuwa ikitokea Dubai na watu 62 imeapata ajali wakati ikijaribu kutua uwanja wa ndege katika mji wa Rostov-on-Don nchini Urusi.
Inaripotiwa kuwa abiria wote 55 na wafanyakazi saba wamekufa kwenye ajali hiyo, kwa mujibu wa orodha ya waathirika iliyochapishwa kwenye tovuti ya Serikali pia inaripotiwa kuwa upepo mkali ulionekana kuwa ndio umesababisha ajali hiyo.
View image on Twitter
View image on Twitter
UPDATE: 55 passengers,7 intl crew members killed as -737 crashes in Southern Russia http://on.rt.com/77eh 

0 comments: