Sunday 20 March 2016

BREAKING NEWZ......Wabunge wa CUF wote wajivua Ubunge..Sababu na barua zao hizi hapa



Katika barua ambayo imesainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CUF Ahmed Nassor Mazrui na kusambazwa kwa wanahabari leo Machi 18,2016, Wabunge wote wa Chama cha Wananchi (CUF) wamejiondoa katika Bunge la Tanzania katika kipindi cha 2015-2020 kwa kile kinachotajwa kama kukiukwa kwa sheria za uchaguzi na kuporwa haki katika uchaguzi wa Zanzibar. Chini ni nakala ya barua kwenda kwa Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai.Breaking news: Wabunge wa CUF wajivua Ubunge
Kwenda Bungeni Machi 18 2016

0 comments: