Monday 21 March 2016

bada ya salma saidi kupatika haya ndiyo Maelezo ya Polisi juu ya kupotea kwake SIKILZA SAUTI Hapa

Baada ya kupatikana kwa mwakilishi wa DW visiwani Zanzibar Salma SaidDW (Kiswahili)imezungumza na Kamanda wa Polisi Dar es Salaam, Simon Siro. Sikiliza hapa:

DW imezungumza na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Siro, juu ya suala la kupatikana kwa mwakilishi wa DW visiwani Zanzibar Salma Said baada ya kutoweka pale alipokamatwa na watu wasiojulikana


 

0 comments: