Sunday 7 December 2014

KATIBU MKUU WA TUCTA NICHOLAS MGAYA ALIPUA BOMU SERIKALINI KUHUSU UKOSEFU WA AJIRA

 katibu mkuu wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania(TUCTA) Nicholas Ernest  Mgaya alipokuwa kwenye semina ya mafunzo ya wafanyakazi mkoani mbeya
Baadhi ya wafanyakazi na wajasilia mali walio hudhulia semina ya mafunzo ya sheria za kazi
  mratibu wa mpango wa sheria za kazi (ILO)  Miradi Marwa  Phanuel akiongea na waandishi wa habari mara baada ya semina kumaliza


Mkurugenzi   ILO  wa afrika mashariki mh Alexio Musindo akiongea na waandishi wa habari mara baada ya semina kumaliza

  Naomi kimambo kukoka tume yausuluhishi na uamuzi,(CMA)(mwenye brauzi nyeupe) akipokea vitabu vya sheria zazi kutoka kwa mratibu wa mpango wa sheria za kazi (ILO)  Miradi Marwa  Phanue(mwenye koti aliye katikati) aliyeye na shati nyekundu ni mmojz wa wana semia nawaliohudhulia mafunzo

Baadhi ya wanasemina akipata picha ya pamoja baada ya kuisha kwa mafunzo


 katibu mkuu wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania(TUCTA) Nicholas Ernest  Mgaya akiwa na mkurugezi wa wise and mercy company mh clemence busara amaye ndio alikuwa mratibu wa mafunzo hayo

 Baadhi ya wajasilia mali walio hudhulia mafunzo wakiwa kwenye   picha ya pamoja

Baadhi ya wanasemina akipata picha ya pamoja baada ya kuisha kwa mafunzo

Baadhi ya wafanyakazi na wajasilia mali wakiwa makina kusikiza mafunzo huku  waandishi wa habari  wanafanya yao
serikali ndiyo mwajiri mkuu katika secta ya Umma   hivyo serikali inalo jukumu la kuajiri watu wasiona ajira wenye taaluma zao pia inachua jukumu la kuweka  mazingira mazuri ya uwekezaji ili secta binafsi zizalishe ajira ambayo  vijana waweze kupata ajira  nakuinua uchumi wanchi yetu kwa ujumla

Hayo yamesemwa katibu mkuu wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania(TUCTA) Nicholas Ernest  Mgaya alipokuwa mgeni rasm katika semina ya  sheria za kazi   kwa waajiri ,wajiri pamoja na wajasilia mali wakubwa na wadogo iliyofanyika katika ukumbi wa OTTU mkoani mbeya, semina ya mafunzo ya sheria za kazi  yaliandaliwa na shirika la kazi dunia( ILO)kwa kushirikana chama cha  wajiri Tanzania 
(ATE)
katika semina ya mafunzo hayo mgaya alisema kuwa sela   yetu ya Tanzania ni nzuri lakini haiendani na matendo hali ambayo husababisha  ukosefu wa ajira na  upungu wa wafanyakazi katika   Manispaa, wilaya na mkoa  kwa mfano maafisa ardhi, maafisa uchumi na maafisa biashara

Mgaya aliongeza serikali kubinafsisha viwanda na kuwapa fursa makampuni ya nje kuingiza bidhaa nchini inasababisha kukoseka kwa ajira kwa vijana na wakulima hali ambayo husababisha kuua soko la bidhaa ya nchi yetu

 hivyo kukosakana kwa ajira Tanzania  nimfumo na mipango mibovu iliyo jitengenezea serikali yenyewe,kwa misingi hii au mfumo huu nchi yetu hawezi kufika popote miaka nenda rudi labda sela na matendo viendane alisema mgaya

kwa upande wake mkurugenzi wa shirika la  kazi duniani(ILO)  afrika mashariki Alexio Musindo mesema kuwa serikali ina wajibu wa kutengeneza nafasi za ajira na kufanya wanyakazi wajua sheria za kazi wawapo kazi kwa kupitia vyama vyao vya kazi ili waweze kutambua haki zao na wajibu wao wawapo kazi ndio maana ILO inaanda semina ili kuelimisha wafanyakazi wa umma na mashilika ya binfsi kujui haki zao,kutambua haki zao itafanya kutokuwepo hali yaunyanyasaji unaofanywa na  waajiri kwa wa wafanya kazi wao alisema bwana Musindo


Ikimbukwe kuwa semina hiyo ilihudhuliwa na watu mbalimbali ikiwemo chama cha waajiri Tanzania( ATE ),kilich wakilishwa na Peter Ngoi, shika la kazi dunia (ILO) ambalo,liliwakilshwa na mkurugenzi   ILO wa afrika mashariki mh Alexio Musindo pamoja na mratibu wa mpango wa sheria za kazi (ILO)  Miradi Marwa  Phanuel
vyama vya wafanyakazi vilivyo wakilishwa na katibu mkuu wa shikisho wavyama vya wafakazi (TUCTA) Mh Nicholas Ernest  Mgaya kutoka serikini katika wizara ya kazi na ajira tume yausuluhishi na uamuzi(CMA)ambayo ilwakilshwa na Naomi kimambo,
kampuny na  taasisi nazo siliwakilishwa na viongozi wao bila kusau wajasilia mali wakubwa na wadogo walikuepo katika semina hiyo
 katibu mkuu wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania(TUCTA) Nicholas Ernest  Mgaya akiongea wanasemina mkoani mbeya 

0 comments: