Sunday 7 December 2014

EPUKA KUENDESHA GARI HUKU UMELEWA HATARI KWA MAISHA YAKO (Angalia hapa)

Ajali ilyo wahi kutokea dereva akiwa amelewa akamsababisha ajali  taarifa hii imetolwa na

Mwenyekiti wa kamati ya usalama barabarani mkoa wa Mbeya Allan Mwaigaga 




 

Mwenyekiti wa kamati ya usalama barabarani mkoa wa Mbeya Allan Mwaigaga akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake. kuhusu ajali zinazoendelea kutokea hapa nchini.


Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza mwenyekiti wa kamati ya usalama barabarani mkoa wa mbeya.


Madereva wa mkoani mbeya na Tanzania kwa ujumla wametakikiwa kuwa makini pindi wawapo barabarani hasa katika kipindi hiki cha kuelekea sikukuu ya chrismas na mwaka mpya na kutakwa kuepukana na vitendo vya ulevi.

  Mwenyekiti wakamati ya usalama barabarani mkoa wa Mbeya Allan Mwaigaga amesema kwani kumekuwa na vitendo vya ulevi uilivyokithiri kwa madereva hasa kwa wakati huu wa sikuku, amewata wananchi na madevea kuwa makini pindi wanapo endesha vyombo vya moto wakiwa wamelewa kwani inaweza kusabaisha ajiali  ambazo sio za lazima

pia mwenyekiti huyo ameongeza kuwa ajali zinzepukika iwapo kama madreva  watafuata sheria za barabarani n kuwamakini kazi yao ametolea mfano baadhi ya ajali zilizo wahi kutokea hapa mbeya  nipomoja ile gari uliona picha ya kwanza hapo ambeyo iliua wtu watatu 

 

      

       

                   picha kwa hisani ya Lumemo blog

0 comments: