Sunday 7 December 2014

ANGALIA MKUTANO WA KAMATI MAALUM YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA (NEC)

 unnamedRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja katika Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) leo,[Picha na Ikulu.]unnamed2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi  CCM alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja katika Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) [Picha na Ikulu.]
unnamed4/Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai (kulia) wakiwa katika  kikao cha siku moja cha Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]unnamed5Wajumbe wa Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wakiwa  katika ukumbi wa  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja ulipofanyika mkutano huo leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, [Picha na Ikulu.]
unnamed6Wajumbe wa Sekretarieti wa Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Zanzibar  wakiwa  katika ukumbi wa  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja wakiwa tayari kuweka kumbu kumbu kwa mabo yote yatakayozungumzwa katika Mkutano huo uliofanyika leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, [Picha na Ikulu.]unnamed7Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akitoa taarifa kwa Wajumbe wa Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya  (NEC) katika ukumbi wa  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja kiako hicho kilifanyika leo chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi (kushoto), [Picha na Ikulu.]unnamed8Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha Kikao cha siku moja cha Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja (kushoto) Makamo wa Pili wa rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi na (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,[Picha na Ikulu.]

MAMA SALMA KIKWETE AFANYA MIKUTANO YA KAMPENI KATA ZA NACHINGWEA NA MINGOYO HUKO LINDI

unnamed3unnamed4Mjumbe wa NEC Taifa wa CCM na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki katika shamrashamra na viongozi wa CCM Kata ya Nachingwea muda mfupi kabla ya kuzungumza na viongozi hao tarehe 6.12.2014.unnamed5Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa  Chama Cha Mapinduzi, Mama Salma Kikwete akiwahutubia viongozi wa CCM Kata ya Nachingwea na wagombea wa chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14.12.2014.unnamed6Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa  Chama Cha Mapinduzi, Mama Salma Kikwete akiwahutubia viongozi wa CCM Kata ya Nachingwea na wagombea wa chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14.12.2014.unnamed7Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM, Mama Salma Kikwete akimjulia hali mtoto mdogo aliyebebwa na mama yake wakati Mama Salma akiingia kwenye sehemu ya mkutano wa kampeni katika Kata ya Mingoyo huko Lindi tarehe 6.12.2014.unnamed8Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete  akijumuika na viongozi mbalimbali wa Mkoa na wilaya ya Lindi mjini pamoja na wananchi wa Kata ya Mingoyo kucheza wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Mnazi Mmoja tarehe 6.12.2014.
unnamed10Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete  akijumuika na viongozi mbalimbali wa Mkoa na wilaya ya Lindi mjini pamoja na wananchi wa Kata ya Mingoyo kucheza wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Mnazi Mmoja tarehe 6.12.2014.
unnamed12Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete  akiwahutubia viongozi wa Kata ya Mingoyo pamoja na wananchi wa Mnazi Mmoja wakati wa mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14,12.2014
unnamed11Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete  akiwahutubia viongozi wa Kata ya Mingoyo pamoja na wananchi wa Mnazi Mmoja wakati wa mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14,12.2014
 PICHA NA  JOHN  LUKUWI. 

0 comments: