Monday 8 December 2014

PONGEZI ZATOLEWA KWA IDRIS SULTAN KWA USHINDI WA MILIONI 500 ZA BBA


WW

MSHIRIKI kutoka Tanzania, Idris Sultan usiku wa jana ameibuka mshindi wa shidano la Big Brother Hotshots na kujinyakulia dola za Kimarekani 300,000 zaidi ya milioni 500 za Kibongo.
Idris amepata kura kutoka nchi za Kenya, Namibia, Rwanda, Tanzania na Uganda. Tayo amepata kura za Nigeria na Msumbiji.
yy
hu
Idris amepata kura kutoka nchi za Kenya, Namibia, Rwanda, Tanzania na Uganda. Tayo amepata kura za Nigeria na Msumbiji.
Macky2 amepata kura za Zambia na sehemu nyinginezo za Afrika huku Nhlanhla akiambulia kura za Afrika Kusini na Botswana.
Kwa ushindi wa leo, Idris amekuwa Mtanzania wa pili kushinda Big Brother Africa akiungana na Richard Bezuidenhout ambaye ni mshindi wa shindano la Big Brother Africa
idr

Shukrani pia kwa Mtanzania mwenzetu,msanii wetu mkubwa sana Diamond Platnumz kwa kuhamasisha watu tofauti kutoka katika nchi tofauti kwa kumtangaza katika mitandao tofautio tofauti alie kuwa mshiriki Idrisa mpaka amefikia hatua ya kushinda

Watanzania wamempongeza  idrisi kuwa mshindiwa BBA  kwa kuwa ametanaza tanzania

0 comments: