Wednesday 3 September 2014

MATOKEO YA WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU 2014 HAYA HAPA

Matokeo ya Walioomba Mafunzo Ualimu katika Vyuo vya Serikali 



Maelekezo:

Mfumo huu umewekewa vitufe mbali mbali ili kumsaidia 
muombaji kupata taarifa 
anazozihitaji kuhusiana na maombi yake (kama amechaguliwa ama la).
 Bonyeza viunganishi vilivyowekwa kama
 "Elimu ya Awali""Michezo", na "Msingi"
 (kwa waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu ya Kawaida);
 au"Sayansi na Hisabati", na "Elimu Maalumu" 

(kwa waliochaguliwa kujiunga na 

"Stashahada ya juu ya Ualimu) kisha andika jina, au namba 
yako ya mtihani ya kidato
 cha nne kwenye kiboksi cha "Search" na moja kwa moja utaweza 
kuona kama jina lako
 liko kwenye orodha ya waliochaguliwa au hapana.
Matokeo yanapatikana hapa
 http://www.nacte.go.tz


Matokeo haya yatapatikana kwa majeduali makubwa katika tovuti ya TAMISEMI na Wizara ya Elimu na pia kwenye mbao za matangazo katika ofisi za Elimu Mikoa kuanzia kesho tarehe 4 Septemba 2014.

0 comments: