Friday 5 September 2014

HOT NEWS AJALI YA BASI YAUA WATU 20 HAPHAPO MUSOMA MKOANI MARA


Basi la Jumanne lililokuwa linatoka Sirari kwenda Mwanza limegongana uso kwa uso na basi la Mwanza coach lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Musoma. Ajali imetokea katika eneo la daraja la sabasaba, Musoma. MBEYAGREENNEWS Blog itawajuza zaidi kuhusiana na tukio hilo. 

0 comments: