HOME »
» ALIPULIWA NA BOMU WILAYANI MUNDULI MOKANI ARUSHA
|
MTOTO Lowasa Ingine (15), Mkazi wa Kijiji cha Sepeto, Wilayani
Monduli, mkoani Arusha amelazwa katika Hospitali ya Selian, iliopo Mjini Arusha,
baada ya kujeruhiwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu kwenye mikono yake
miwili, mtoto huyo alikuwa anachunga ng'ombe eneo la jeshi Monduli.
|
0 comments:
Post a Comment