Leo muda wa 10:00 Kulikuwa na maandamano London, downing street, madhumuni ni kuishukuru serikali ya UK kwa juhudi ulio chukua juu ya mkwamo wa kisiasa zanzibar, na pia kuomba ichukue hatua zaidi ili wazanzibari na watanzania kwa ujumla tupatiwe haki yetu ya msingi tulio fanya tarehe 25 October 2015.









0 comments:
Post a Comment