HOME »
» Updates Toka Uwanja wa Uhuru Katika Sherehe za Kuapishwa Dr Magufuli
Leo Rais mteule wa awamu ya tano, Dk. John Magufuli anaapishwa rasmi ambapo asubuhi hii viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili uwanja wa uhuru kushuhudia sherehe hizi.
Watu ni wengi sana, mvua nayo inanyesha kuonyesha ni tukio lenye baraka
0 comments:
Post a Comment