Saturday, 7 November 2015

HUDUMA ZA MAJI NA AFYA MKOANI SHINYANGA LAENDELEA KUWA TATIZO LA KUDUMU

Ukosefu wa zahanati katika baadhi ya kata za mji wa shinyanga ikiwemo kata ya Ndembezi na Ngokolo imetajwa kuwa ni kikwazo kinachosababisha wananchi wa maeneo hayo kutumia muda mrefu kufuata huduma za afya hali ambayo imekuwa ikisababisha wananchi wa kipato cha chini kushindwa kumudu gharama za matibabu huku ongezeko la vijana wanaoshinda vijiweni likiongezeka kutokana na ukosefu wa ajira na miundombinu ya kujiajiri.




CHANZO ITV PAGE

0 comments: