Watu Mbali mbali Wameguswa na Kifo cha Kamanda wa Chadema Mawazo Ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita...
Hapa chini Nimekuwekea ujumbe kutoka kwa Halima Mdee aliondika mtandaoni:
"Ameuwawa Kwa Sababu tu ya Uchaguzi wa Kata!!! Damu yake Haitapotea BURE!!! Ipo siku, Wanyonge Watanyanyuka" Halima James Mdee
Hapa chini Nimekuwekea ujumbe kutoka kwa Halima Mdee aliondika mtandaoni:
0 comments:
Post a Comment