Wabunge viti maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10
Mwenyekiti wa tume hiyo Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema chama cha CCM ambacho kilipata jumla ya kura milioni 8.3 kimepata wabunge 64 wakati chama cha CHADEMA ambacho kilipata kura milioni 4.7 kimepata wabunge 36
CUF iliyopata kura milioni 1.2 kimepata wabunge 10, na kuainisha kuwa jumla ya wabunge wa viti maalumu vya ubunge ni viti 113 wakati viti vitano vitatoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Katika uchaguzi wa mwaka 2010, jumla ya idadi ya wabunge viti maalum ilikuwa ni 102, kwahiyo kuna ongezeko la viti 11.
Lubuva amesema orodha ya wabunge hao itawekwa hadharani na vyama husikaSoma Majina Yote ya Wabunge wa Viti Maalumu Kutoka Vyama Vyote Kama Yalivyotolewa na NEC
soma hapa majina ya wabungee
0 comments:
Post a Comment