Sunday 7 September 2014

MBUNGE WA KALENGA ATOA MSAADA WA MABATI 1OO JIMBONI KWAKE KWA UKARABATI WA SHULE

        NA Ester malipichae Iringa 
MH.GODFREY MGIMWA mbunge wa jimbo la kalenga mkoa wa IRKINGA.amewahi wananchi jimboni humo kuwa yuko tayari kwa kuwatumikia ikiwa nipamoja na kutatua changamoto zinazowakabili.
Akiongea na wananchi wa kijiji cha MALANGALI KATA ULANDA ambapo alitoa bati 100 kwa ajili ukarabati wa shule ya LUKWAMBE.ziara hiyo iliendelea katika kijiji cha mfyome na kiwele ambako amefungua
VICOBA 22 na kuchangia million tatu.

0 comments: