Monday 1 September 2014

HOT NEWS WELBECK AENDA KUFANYIWA VIPIMO VYA AFYA ARSENAL

KLABU ya Arsenal inapambaa dakika za mwishoni kuelekea kufungwa dirisha la usajili kuhakikisha inakamilisha uhamisho wa mshambuliaji wa Manchester United, Danny Welbeck kwa dau la Pauni Milioni 6.
Hiyo inafuatia The Gunners kumkosa mshambuliaji wa Monaco, Radamel Falcao, ambaye amehamia Manchester United leo.
Hivi sasa inaelezwa Welbeck anafanyiwa vipimo vya afya Arsenal kukamilisha uhamisho huo.

Anataiwa: Arsenal ipo katika hatua za mwishoni kukamilisha wa Dany Welbeck kutoka Man United

0 comments: