Wednesday 3 September 2014

HANS POPPE ALIKUWEPO TAIFA KUWAONA JAJA&COUTINHO



Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe ni kati ya wadau wa soka waliojiotokeza leo kuwashuhudia Yanga wakicheza mechi yao ya kwanza ya kirafiki ya kimataifa.

Yanga imefanikiwa kuwashinda Thika ya Kenya kwa bao 1-0 lililofungwa na mshambuliaji wake Mbrazil, Genilson Santana maarufu kama Jaja.
Hans Poppe tayari aliwaona wakicheza Zanzibar, lakini huenda aliona ni vema kuwaona Yanga pamoja na Jaja na Coutinho kwa ujumla kama wana

0 comments: