Friday 5 September 2014

DIAMOND ACHAGULIWA TENA KUWANIA TUZO ZA CHANNEL O,YUPO KWENYE CATEGORY 4


Channel O wametangaza majina ya wasanii watakaowania tuzo za CHOAMVAmwaka huu.
 Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platinumz' ametajwa kuwania vipengele vinne ambavyo ni MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR, MOST GIFTED NEWCOMER, MOST GIFTED AFRO POP na MOST GIFTED EAST. 
Tuzo hizo zitatolewa Jumamosi, tarehe 29 November, Nasrec Expo Centre mjini Soweto, Afrika Kusini. Tazama orodha kamili ya majina katika tuzo za mwaka huu.
MOST GIFTED MALE
CASSPER NYOVEST – DOC SHEBELEZA
DAVIDO – AYE
RIKY RICK FT OKMALUMKOOLKAT – AMANTOMBAZANE
K.O. FT KID X – CARACARA
SARKODIE – ILLUMINATI

0 comments: