| Muhudu wa mapokezi wa hotel ya manyanya akiwaelekeza baadhi ya wanafunzi wa chuo cha green hill institute |
| wanafunzi wa chuo cha green hill institute wakiwa nje mara baada ya kufika hotelini hapo |
| Baadhi ya wanafunzi wakingia hotelini kwa ajilia ya kuelekezwa jinsi ya undeshwaji wa hoteli za kitalii |
| wanafunzi wakiwa makini wakimskiliza receptionist wa hotel ya manyanya |
| mwalimu wa chuo hicho cha green hill institute akiwa amepumzika ndani ya manyanya hotel |
| wanafunzi wakiendelea kupata mafunzo ya kupika katika upande wa jikoni |
| mwalimu aliyekuwa ameongzana na wanafunzi |
| Ni muoneko wa kitanda ndani ya hotel manyanya |
| wanafunzi wakipiga picha ya pamoja |
| Nimuonekano wa hotel safi kabisa ndani ya mbeya manyanya hotel inavyo onekana kwa njee |
| house keeper akiwafundisha wanafunzi wa green hill institute jinsi au namna ya kufanya usafi kwenye chumba cha mgeni |












0 comments:
Post a Comment