Tuesday 5 August 2014

Pastor Myamba apewa zawadi ya Tsh m 250 kwenye harusi yake.

  


Harusi ya Pastor Myamba pengine ndiyo harusi ya star wa Tanzania kuzawadia mali nyingi zaidi ! Myamba amefunga ndoa Zanzibar weend hii huku akizawadia zawadi kibao za mamilioni likiwemo gari na pesa taslim shilingi milioni 
250 za kitanzania. Mastaa mbalimbali wamehudhuria harusi hiyo visiwani Zanzibar.

0 comments: