Tuesday 5 August 2014

BAADA YA AJALI YA GARI, RAGE ANAENDELEA VIZURI

RAGE AKIWA HOSPITALINI


Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Ismail Aden Rage, anaendelea vizuri.
“Hali yake inaendelea vizuri, ila kuna mwenzake aliyekuwa kwenye gari alivunjika mkono,” alisema mmoja wa wauguzi wa hospitai hiyo.
Rage amelazwa kwenye hospitali mjini Dodoma baada ya kupata ajali ya gari, jana.
RAGE MARA TU BAADA YA AJALI ILIYOTOKEA MKOANI DODOMA.

Rage ambaye ni mbunge wa Tabora Mjini, alipata ajali hiyo wakati akitokea jimboni mwake kwenda Dodoma kwa ajili ya Bunge la Katiba.
mtandao huu  INAMUOMBEA RAGE NA WENZAKE WALIOHUSIKA KWENYE AJALI HIYO YA GARI, WAPATE NAFUU NA KUPONA HARAKA.

0 comments: