Kamanda
wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu Salum Msangi amesema operesheni
maalumu ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu ya kukabiliana na vitendo vya
ujambazi, ujangili wa uwindaji haramu pamoja na wahamiaji haramu
imefanikisha kukamatwa kwa silaha 45, zikiwemo za kivita na 17 za
kienyeji, risasi 892 na magazine 24 pamoja na watuhumiwa sugu wa ujambazi.
Kamanda Msangi amesema miongoni mwa silaha zilikamatwa ni G3 moja ikiwa na risasi zake 35 iliyokuwa ikitumiwa na mwanamke mmoja aliyetambulishwa kwa majina,Hollo Mabuga (28) mkazi wa wilayani Bariadi.
“Tumeweza pia kumkamata mtuhumiwa hatari wa matukio ya uhalifu ambaye hivi karibuni aliachiwa kutoka Gerezani lakini tukapata taarifa za raia wema kuwa amekuwa akijihusisha na ujangiri na ujambazi ambaye ni Masanja Sumuni, tukaweka mtego na kufanikiwa kumkamata akiwa na SMG moja na risasi 96....” Bofya haa kumalizia habari hii kwenye GSengo blog

0 comments:
Post a Comment