1630 Sunderland v Newcastle
1900 Chelsea v Man City
1900 Swansea v West Ham
1900 Tottenham v Hull
**KUANZIA JUMAPILI, MAJIRA HUKO
ENGLAND YANABADILIKA NA MECHI ZITAANZA KUCHEZWA SAA 1 MBELE YA BONGO
KUPITA ILIVYO KAWAIDA [TOFAUTI YA MASAA NI MATATU, BONGO WATAKUWA SAA 3
MBELE]
BAADA
kati Wiki kuchezwa Mashindano ya UEFA ya Klabu, Wikiendi BPL, Ligi Kuu
England, ipo kilingeni na Jumamosi Mechi ya kwanza kabisa ni ile ya
Vinara wa Ligi Arsenal watakaokuwa Ugenini kucheza na Crystal Palace
ambayo haina Meneja baada ya Ian Holloway kutimka akiiacha Timu iko
Nafasi moja toka mkiani.
Baada ya Mechi hii, zitafuatia Mechi 4
zitakazoanza wakati mmoja, Saa 11 Jioni, na kati ya hizo ni ile ya Old
Trafford kati ya Mabingwa Watetezi Manchester United na Stoke City.
Jumapili zipo Mechi 4 lakini hekaheka
kubwa po huko Stamford Bridge kati ya Chelsea na Manchester City Timu
ambazo zimetenganishwa kwa Pointi moja tu huku Chelsea ikiwa Nafasi ya
Pili na ina Pointi 17 na Man City wako Nafasi ya 4 na wana Pointi 16.
RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]
Jumamosi Oktoba 26
Crystal Palace 0 Arsenal 2
Aston Villa 0 Everton 2
Liverpool 4 West Brom 1
Man United 3 Stoke 2
Norwich 0 Cardiff 0
1930 Southampton v Fulham
MSIMAMO:
NA |
TIMU |
P |
GD |
PTS |
1 |
Arsenal |
9 |
11 |
22 |
2 |
Liverpool |
9 |
9 |
20 |
3 |
Everton |
9 |
4 |
18 |
4 |
Chelsea |
8 |
9 |
17 |
5 |
Man City |
8 |
11 |
16 |
6 |
Tottenham |
8 |
3 |
16 |
7 |
Southampton |
8 |
5 |
15 |
8 |
Man Utd |
9 |
2 |
14 |
9 |
Hull |
8 |
-2 |
11 |
10 |
Newcastle |
8 |
-3 |
11 |
11 |
Swansea |
8 |
1 |
10 |
12 |
Fulham |
8 |
-1 |
10 |
13 |
West Brom |
9 |
-3 |
10 |
14 |
Aston Villa |
9 |
-3 |
10 |
15 |
Cardiff |
9 |
-5 |
9 |
16 |
West Ham |
8 |
0 |
8 |
17 |
Stoke |
9 |
-4 |
8 |
18 |
Norwich |
9 |
-7 |
8 |
19 |
Crystal Palace |
9 |
-13 |
3 |
20 |
Sunderland |
8 |
-15 |
1 |
0 comments:
Post a Comment