Picha
zilizopachikwa hapo juu zinaonesha uharibifu
ulioripotiwa kufanywa na washabiki wa timu ya soka ya Mbeya City punde
tu baada ya kumalizika kwa mchezo baina ya timu hiyo na ile ya Prisons
(ya Mbeya pia) wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara, tarehe 29 Oktoba
2013.
Hii si mara ya kwanza kwa washabiki hao kushutumiwa kuhusu uharibifu wa mali na watu wa timu pinzani. Timu hiyo ilipocheza na timu ya Yanga, kulitokea uharibifu vile vile. Ni suala ambalo lisipodhibitiwa litaendelea kudidimiza soka letu.
Bofya hapa kutizama picha zaidi kwenye blogu ya Malafyale-leo.

0 comments:
Post a Comment