Sunday, 27 October 2013

MATOKEO YA LIGI KUU YA ENGLILAND LEO CHELSEA ASHINDA WAFIKISHA POINT 20

 

FERNANDO TORRES, SHUJAA WA STAMFORD BRIDGE!!

>, APIGA BAO LA USHINDI DAKIKA YA 90!!
TORRES_AFINYA>>CHELSEA NAFASI YA 2, POINTI 2NYUMA YA VINARA ARSENAL!!AFIKISHA  POINT 20

PATA ZAIDI:
MATOKEO:
Jumapili Oktoba 27

Sunderland 2 Newcastle 1
Chelsea 2 Man City1
Swansea 0 West Ham 0
Tottenham 1 Hull 0
++++++++++++++++++++++
CHELSEA 2  MAN CITY 1
Fernando Torres alifunga Bao la ushindi katika Dakika ya 90 wakati Chelsea walipoibwaga Manchester City Bao 2-1 Uwanjani Stamford Bridge na kuchupa hadi Nafasi ya Pili wakiwa Pointi 2 nyuma ya Vinara Arsenal.
++++++++++++++++++++++
MAGOLI:
Chelsea 2
-Schürrle Dakika ya 33
-Torres 90′
Man City 1
-Agüero Dakika ya 49
++++++++++++++++++++++
Bao hilo la ushindi la Torres lilitokana na makosa ya Beki Matija Nastasic alierudisha Mpira kwa kichwa kwa Kipa wake Joe Hart ambae nae alikuwa akitoka Golini kuja mbele na kupishana na Mpira huo ambao ulitokewa na Torres na kuukwamisha wavuni.
Torres pia ndie alikuwa mpishi wa Bao la Chelsea la kwanza ambapo jitihada yake ilimfanya ampite Beki Gael Clichy na kumlisha Andre Schurrle aliefunga.
Sergio Aguero ndie aliefunga Bao la Man City kwa ufundi mkubwa na kuifanya Gemu iwe 1-1 na ndipo katika Dakika ya 90 Torres akawa Shujaa wa Stamford Bridge.
REFA: Howard Webb

TOTTENHAM 1 HULL 0
Penati ya Dakika ya 80 ya Roberto Soldado imewapa ushindi wa Bao 1-0 Tottenham walipocheza Uwanjani kwao White Hart Lane na Hull City.
Penati hiyo ilitolewa na Refa Michael Oliver kwa kuunawa Mpira Mchezaji wa Hull Ahmed Elmohamady.
Ushindi huu umeipandisha Tottenham hadi Nafasi ya 4 wakiwa na Pointi 19, Pointi 3 nyuma ya Vinara Arsenal.
REFA: Michael Oliver

SUNDERLAND 2 NEWCASTLE 1
Bao la Dakika ya 84 la Fabio Borini kwa mzinga mkali leo limewapa Sunderland ushindi wao wa kwanza kwemye Ligi Msimu huu walipoipiga Newcastle Bao 2-1 na kujinasua toka mkiani.
++++++++++++++++++++++
MAGOLI:
Sunderland 2
-Fletcher Dakika ya 5
-Borini 84
Newcastle 1
-Debuchy Dakika ya 57
++++++++++++++++++++++
Sunderland walitangulia kufunga kwa Bao la Steven Fletcher la kichwa kutokana na krosi ya Adam Johnson.
Mathieu Debuchy akasawazisha kwa Newcastle baada ya Hatem Ben Arfa kupiga Mpira Golini.
Lakini Borini, akitokea Benchi, ndio aliwaua Newcastle kwa shuti la Mita 25.
REFA: Lee Probert.

SOUTHAMPTON 2 FULHAM 0
Bao za Rickie Lambert na Rodriguez Jana ziliwapa Southampton ushindi wa Bao 2-0 walipocheza na Fulham.
Bao zote hizo zilifungwa katika Kipindi cha Kwanza.
.
++++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
GD
PTS
1
Arsenal
9
11
22
2
Chelsea
9
10
20
3
Liverpool
9
9
20
4
Tottenham
9
4
19
5
Southampton
9
7
18
6
Everton
9
4
18
7
Man City
9
10
16
8
Man Utd
9
2
14
9
Swansea
9
1
11
10
Hull
9
-1
11
11
Newcastle
9
-4
11
12
West Brom
9
-3
10
13
Aston Villa
9
-3
10
14
Fulham
9
-3
10
15
West Ham
9
0
9
16
Cardiff
9
-5
9
17
Stoke
9
-4
8
18
Norwich
9
-7
8
19
Sunderland
9
-14
4
20
Crystal Palace
9
-13
3
MECHI ZIJAZO:
BPL: LIGI KUU ENGLAND
RATIBA
Jumamosi Novemba 2
15:45
Newcastle v Chelsea
18:00
Fulham v Man Utd
18:00
Hull v Sunderland
18:00
Man City v Norwich
18:00
Stoke v Southampton
18:00
West Brom v Crystal Palace
18:00
West Ham v Aston Villa
20:30
Arsenal v Liverpool
Jumapili Novemba 3
13:30
Everton v Tottenham
16:00
Cardiff v Swansea
Jumamosi Novemba 9
18:00
Aston Villa v Cardiff
18:00
Chelsea v West Brom
18:00
Crystal Palace v Everton
18:00
Liverpool v Fulham
18:00
Southampton v Hull
20:30
Norwich v West Ham
Jumapili Novemba 10
15:00
Tottenham v Newcastle
17:05
Sunderland v Man City
19:10
Man Utd v Arsenal
19:10
Swansea v Stoke
Jumamosi Novemba 23
15:45
Everton v Liverpool
18:00
Arsenal v Southampton
18:00
Fulham v Swansea
18:00
Hull v Crystal Palace
18:00
Newcastle v Norwich
18:00
Stoke v Sunderland
20:30
West Ham v Chelsea
Jumapili Novemba 24
16:30
Man City v Tottenham
19:00
Cardiff v Man Utd
Jumatatu Novemba 25
23:00
West Brom v Aston Villa
Jumamosi Novemba 30
18:00
Aston Villa v Sunderland
18:00
Cardiff v Arsenal
18:00
Everton v Stoke
18:00
Norwich v Crystal Palace
18:00
West Ham v Fulham
20:30
Newcastle v West Brom
Jumapili Desemba 1
15:00
Tottenham v Man Utd
17:05
Hull v Liverpool
19:10
Chelsea v Southampton
19:10
Man City v Swansea
Jumanne Desemba 3
20:00
Crystal Palace v West Ham
Jumatano Desemba 4
22:45
Arsenal v Hull
22:45
Liverpool v Norwich
22:45
Man Utd v Everton
22:45
Southampton v Aston Villa
22:45
Stoke v Cardiff
22:45
Sunderland v Chelsea
22:45
Swansea v Newcastle
23:00
Fulham v Tottenham
23:00
West Brom v Man City

0 comments: